Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza majina ya wachezaji 53 wanaounda kikosi cha awali cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) ambacho kitashiriki michuano ya Afcon 2023 itakayofanyika Januari 2024 huko Ivory Coast
Wachezaji hao watafanyiwa mchujo na kubaki 53 watakaokwenda Ivory Coast




