Klabu ya Simba imetangaza kuwasimamisha wachezaji Clatous Chama na Nassor Kapama kutokana na makosa ya utovu wa Nidhamu
Wachezaji hao wanatarajiwa kupelekwa kwenye Kamati ya Nidhamu kwa ajili ya hatua zaidi za kinidhamu