Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) imeahirisha michezo saba ya Ligi Kuu ya NBC ili kupisha michezo kati ya timu ya Taifa ya Zanzibar na timu ya Taifa ya Tanzania Bara itakayofanyika Disemba 27 pamoja na maandalizi ya timu ya Taifa ya Tanzania kuelekea fainali za kombe la Mataifa (Afcon 2023) itakayofanyika Ivory Coast, kuanzia Januari 13 2024
..... download Xtra 90 App



