Kagera Sugar - Local

Mexime afutwa kazi Kagera Sugar

Joel JJ By Joel JJ
β€’
22 Dec 2023
Mexime afutwa kazi Kagera Sugar

Uongozi wa klabu ya Kagera Sugar umemfuta kazi aliyekuwa kocha wao Mkuu Meck Mexime baada ya mfululizo wa matokeo mabaya

Jana Kagera Sugar ilichapwa mabao 4-0 dhidi ya Azam Fc ukiwa ni mchezo wa pili mfululizo timu hiyo imepoteza baada ya pia kuchapwa mabao 3-0 na Simba katika mchezo uliopta

Kagera sugar pia imesitisha mkataba wa kocha wao wa Viungo Fransis Mkanul

Kwa sasa kikosi cha Kagera Sugar kitaendelea kusalia chini ya Kocha wao Msaidizi Marwa Chamaberi

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
59m ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
4h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
5h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
5h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
6h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
6h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
7h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
8h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
21h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
21h ago
READ MORE β†’