Yanga - Simba - Azam - Local

Kilimanjaro Stars, Zanzibar Heroes kuzindua Amaan Stadium leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
27 Dec 2023
Kilimanjaro Stars, Zanzibar Heroes kuzindua Amaan Stadium leo

Baada ya kufanyiwa ukarabati mkubwa, Uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar ambao utatumika katika michuano ya kombe la Mapinduzi, utazinduliwa leo Jumatano

Mchezo wa kirafiki kati ya timu ya Taifa ya Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) dhidi ya timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), utapigwa katika uwanja huo

Mchezo huo ambao hautakuwa na kiingilio utapigwa saa 2:15 Usiku

Maboresho ya Uwanja wa Amaan yamefuata mahitaji yote ya CAF na FIFA hivyo uwanja huo utaweza kutumika hata katika michuano ya Kimataifa inayoandaliwa na CAF/FIFA

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
24m ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
36m ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
1h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
4h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
8h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
8h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
9h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
9h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
10h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
11h ago
READ MORE β†’