Stars yatimkia Misri kuweka kambi ya Afcon 2023

Joel JJ By Joel JJ β€’ 1st January 2024


Stars yatimkia Misri kuweka kambi ya Afcon 2023

Kikosi cha timu ya Taifa Tanzania 'Taifa Stars' kimesafiri leo kwenda Cairo, Misri kwa ajili ya kuweka kambi ya kujiandaa na michuano ya Afcon 2023 itakayofanyika Ivory Coast kuanzia Januari 13

Kikosi hicho cha kocha mkuu, Adel Amrouche kinaondoka na wachezaji 31 ambapo wanne watachujwa ili kubaki 27 watakaowakilisha nchi huku wanne hao watabakia wa akiba endapo waliopo kikosini watapata changamoto

Kikosi kamili cha Stars

1.Aishi Manula

2.Kwesi Kawawa
3.Beno Kakolanya
4.Metacha Mnata

5.Ibrahim Abdullah
6.Bakari Mwamnyeto
7.Dickson Job
8.Haji Mnoga
9.Mohamed Hussein
10.Danilo Maino
11.Novatus Dismas
12.Adam Kassa
13.Abdi Banda
14 Abdulmalick Zacharia

15.Sospeter Bajana
16.Muzamiru Yasin
17.Himid Mao
18.Mudathir Yahaya
19.Mourice Abraham

20.Ben Starkie
21.Abdul Soup
22.Tariq Yusuf
23.Kibu Deniss
24.Simon Msuva
25.Mbwana Samatta
26.Feisal Salum
27.Lusajo Mwaikenda
28.Hamdun
29.Charles M'mombwa
30.Isack Kachwele
31. Twariq Abdillah


  

XTRA 90 INSIDER

Get the latest tactics & rumors delivered to your inbox.