Simba - Local - Transfer

Simba imepata tiba eneo la kiungo

Joel JJ By Joel JJ
7 Jan 2024
Simba imepata tiba eneo la kiungo

Mapema Jumamosi, Simba ilitambulisha usajili wa kiungo mkabaji Babacar Sarr raia wa Senegal. Sarr amewahi kuitumikia klabu ya US Monastir ya Tunisia

Sarr anayetumia zaidi mguu wa kulia, mwenye umri wa miaka 26, ametua Simba kwa mkataba wa miaka miwili

Uzoefu pamoja na uwezo wake wa kutawala eneo la kiungo cha ukabaji imetajwa kuwa sababu kuu iliyoishawishi Simba kumleta Msimbazi

Mbali na kuitumikia US Monastir ambayo msimu uliopita ilicheza robo fainali ya kombe la Shirikisho barani Afrika, Sarr pia amewahi kuzichezea Olympique Beja ya Tunisia, Teungueth FC, AS Pikine na Mbour P.C.

Sarr ameungana na Fabrice Ngoma, Sadio Kanoute na Mzamiru Yassin ambapo saa ameongeza wigo katika eneo la kiungo

Bila shaka sasa Sarr anakuja kumaliza changamoto katika eneo hilo

More Stories

Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa uhuru
52m ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
55m ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
1h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
1h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
3h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
13h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
13h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
14h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
17h ago
READ MORE →