Lilikuwa suala la muda kwa Simba kumtambulisha winga Ladark Chasambi anayetua Msimbazi kutoka klabu ya Mtibwa Sugar
Chasambi amejiunga na Simba akisaini mkataba wa miaka mitatu
Licha ya umri wake mdogo, Chasambi amejipambanua moja ya wachezaji wanaokuja kwa kasi
Simba ililazimika kununua mkataba wake uliokuwa umesalia na Mtibwa Sugar
Ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa wamejumuishwa katika kikosi cha awali cha Taifa Stars kabla ya mchujo uliobakisha wachezaji 27
ADVERTISE HERE