Baada ya kupata mafanikio makubwa na klabu ya Simba na baadae kutimkia Singida FG, Meddie Kagere ametua Namungo Fc
Kagere amekuwa mchezaji wa mwisho kutambulishwa na Namungo Fc dakika chache kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa
Namungo pia ilitangaza kumsajili kiungo Ayoub Semtawa kutoka klabu ya Coastal Union
