Simba - Yanga - Azam - Taifa Stars - Tanzania - Local

Stars dimbani dhidi ya Morocco leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Jan 2024
Stars dimbani dhidi ya Morocco leo

Michuano ya Afcon 2023 inaendelea huko Ivory Coast ambapo leo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itatupa karata yake ya kwanza katika michuano hiyo kwa kumenyana na Morocco katika mchezo utakaopigwa saa 2 usiku

Leo ni mechi mbili tu zitapigwa kundi F ambapo mchezo mwingine ni kati ya Zambia dhidi ya DR Congo ambao utapigwa saa 5 usiku

Michuano ya Afcon mwaka huu imeendelea kutoa matokeo yasiyotarajiwa baadhi ya mechi ambapo timu vigogo zimeshindwa kuondoka na alama zote tatu

Ni wazi hautakuwa mchezo mwepesi kwa Stars dhidi ya Morocco iliyokamilika sawasawa lakini hakuna lisilowezekana katika mpira wa miguu

Kocha Mkuu wa Stars Adel Amrouche amesema wanafahamu wana mtihani mgumu mbele ya Morocco lakini hawakwenda Ivory Coast kutalii hivyo watapambana

More Stories

Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
32m ago
READ MORE β†’
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
10h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
11h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
11h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
14h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
18h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
18h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
19h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
20h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
20h ago
READ MORE β†’