Shirikisho la Soka Visiwani Zanzibar ZFF limekiri kupokea barua ya maombi kutoka kwa Klabu ya Simba ya kuomba kutumia uwanja wa New Aman sports Comlpex katika michezo ya nyumbani ya Ligi kuu, kombe la shirikisho la Azam (ASFA) na michezo iliyosalia ya hatua ya makundu klabu bingwa barani Afrika (CAF)
..... download Xtra 90 App



