Simba - Local

Benchikha yupo sana Msimbazi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
1 Feb 2024
Benchikha yupo sana Msimbazi

Baada ya kuondoshwa mapema katika michuano ya Afcon, timu ya Taifa ya Algeria inasaka kocha mpya baada ya kumtimua Djamel Belmadi

Kocha Mkuu wa Simba Abdelhak Benchikha ni miongoni mwa makocha ambao taarifa zinaeleza amependekezwa kumrith Belmadi

Benchikha anatizamwa kama kocha mwenye mafanikio zaidi nchini Algeria katika misimu ya karibuni wakiamini anaweza kurejesha nidhamu ya mabingwa hao wa Afcon 2019

Hata hivyoBenchikha amegomea ofa hiyo akihitaji kuhudumia mkataba wake na Simba ambao ndio kwanza una takribani miezi miwili tu

Benchikha amepania kufanya mambo makubwa na Simba jukumu lake la kwanza likiwa kuivusha Simba hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

Simba ilimchukua Benchikha baada ya kuachana na Robertinho Oliveira. Benchikha aliachana na USM Alger aliyoipa mafanikio makubwa msimu uliopita kwa kushinda mataji ya CAF CC na CAF Super Cup

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
45m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’