Transfer - International - Real Madrid - Manchester City

Man City yamtaka Davies

Joel JJ By Joel JJ
β€’
1 Feb 2024
Man City yamtaka Davies

Manchester City ipo tayari kutoa pauni milioni 80 kuinasa saini ya beki Alfonso Davies kutoka Bayern Munchen ambaye pia Real Madrid inamtaka, mtandao wa Fichajes wa Hispania unaripoti

Mkataba wa Davies na Bayern utamalizika msimu wa 2025, kama Bayern itashindwa kumpa mkataba mpya huenda akashawishiwa kwenda City ambao wako tayari kutoa pesa ndefu kwa ajili ya usajili huo

Real Madrid ina mpango wa kuimarisha upande wao wa kushoto hivyo huenda Davies akawa suluhisho la tatizo la upande huo

Mpaka sasa Guardiola ameshatumia wacheza kadhaa katika upande huo, ameshamtumia Benjamin Mendy, Oleksandr Zinchenko, Manuel Akanji, Nathan Ake, na Josko Gvardiol lakini hakuna yoyote ambaye amewahi kudumu nafasi hiyo kwa muda mrefu

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’