Singida - Local

Singida FG yahamia CCM Kirumba

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Feb 2024
Singida FG yahamia CCM Kirumba

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeikubalia timu ya Singida Fontain Gate kutumia Uwanja wa CCM Kirumba kuwa wa nyumbani baada ya uwanja iliokuwa inatumia awali kuufungia

Kutokana na timu hiyo kuutumia uwanja huo kuanzia sasa, huenda mechi za Singida Fountain Gate za nyumbani dhidi ya Simba na Yanga zikachezwa jijini Mwanza kulingana na ratiba ya michezo husika

Awali, Singida Fountain Gate ilikuwa inatumia Uwanja wa CCM Liti, lakini imefungiwa kutokana na kutokidhi viwango vinavyohitajika

Viongozi wa timu hiyo walipeleka maombi ya kutumia Uwanja wa CCM Kirumba kwa mechi zilizobaki - ombi lao limekubaliwa

"Tutatumia uwanja huo kwa mechi zote za nyumbani. Tunashukuru kwa maombi hayo kukubaliwa," msemaji wa Singida FG alithibitisha

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’