Simba - Azam - Local

Ni Simba dhidi ya Azam Fc leo, NBC PL

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Feb 2024
Ni Simba dhidi ya Azam Fc leo, NBC PL

Derby ya Mzizima inapigwa jijini Mwanza leo, wenyeji Simba wakiwakaribisha Azam Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Hii ni mechi muhimu sana kwa kila timu kuvuna alama tatu ili kujiweka katika nafasi nzuri kwenye mbio za ubingwa wa ligi kuu msimu huu

Msimu huu Azam Fc wanaonekana kuwa washindani wa kweli katika mbio za ubingwa, ushindi katika mchezo huu utaendelea kuwawekaa katika nafasi nzuri katika mbio za ubingwa wakiendelea kuipa presha Yanga iliyo kileleni

Kwa Simba, ushindi utawahakikishia kuinondoa Azam Fc katika nafasi ya pili huku pia wakiendelea kuwa na mechi ya kiporo ambayo kama watashinda tofauti yao na vinara Yanga itakuwa alama mbili tu

Katika misimu ya karibuni, Azam Fc wameonekana kuimudu Simba wakipata matokeo mazuri katika mechi zilizokutanisha timu hizo

Msimu uliopita Simba haikuweza kupata ushindi katika mechi zote walizokutana na Azam Fc kwenye ligi na kombe la FA

Baada ya ushindi katika mechi tatu zilizopita, Simba inakwenda kwenye mchezo huo ikiwa katika wakati mzuri zaidi kuliko wapinzani wao ambao huu utakuwa mchezo wao wa kwanza tangu ligi iliporejea

Ni katika uwanja wa CCM Kirumba, saa 10 jioni

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’