Local

Watanzania washinda mabilioni Marekani

Joel JJ By Joel JJ
β€’
20 Feb 2024
Watanzania washinda mabilioni Marekani

Raia wawili kutoka Tanzania maarufu kama Ramadhani Brothers, wameibuka washindi katika shindano la kusaka vipaji la America’s Got Talent (AGT) Fantasy-Legue na kujinyakulia kitita cha dola 250,000 (Sh637 milioni)

Ndugu hao, Fadhili Ramadhani na Ibrahim Job, waliwashinda washindani wengine tisa waliofika fainali - wawili kati yao walikuwa wakichuana na timu ya Howie na waliobaki kwenye timu za majaji Simon Cowell, Mel B na Heidi Klum

"Kushinda AGT: Ligi ya Ndoto ni hisia ya kushangaza zaidi ambayo hatuwezi kuelezea!" alisema Fadhili baada ya kutangazwa washindi

"Tumekuwa katika mashindano mengine ya Got Talent duniani kote na tumefika kila fainali, lakini hatujawahi kushinda. Lakini kushinda dhidi ya washindi wa zamani wa AGT ni baadhi ya vitendo bora zaidi kwenye sayari, kwa kweli kunainua hadhi yetu"

Ndugu hao ambao hutumia balansi ya mikono na kichwa, kwa mara ya kwanza walishiriki AGT msimu wa 18 mwaka wa 2023, lakini walimaliza katika nafasi ya tano licha ya matukio yao ya kusisimua.

More Stories

Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
7h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
7h ago
READ MORE β†’
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
7h ago
READ MORE β†’
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
11h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
14h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
15h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
16h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
16h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
17h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
18h ago
READ MORE β†’