Yanga - Local

CRDB Bank yanogesha Pacome Day

Joel JJ By Joel JJ
22 Feb 2024
CRDB Bank yanogesha Pacome Day

Pacome Day iliyozinduliwa juzi na Yanga imezidi kuwa kubwa baada ya Bank ya CRDB kuweka fedha kudhamini tukio hilo ambalo kilele chake ni Jumamosi Februari 24 katika mchezo wa ligi ya mabingwa kati ya Yanga dhidi ya CR Belouizdad ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe ameipongeza CRBD kwa kuona umuhimu wa kudhamini tukio hilo ambalo ni mwendelezo wa ubunifu unaofanywa na Idara ya Habari na Mawasiliano

"Ninayo furaha kubwa kuwatangazia Wananchi kuwa Wiki ya Hamasa ya Pacome Day”imedhaminiwa na Benki Bora Tanzania ya CRDB"

"CRDB wametoa Fedha ya kutosha kudhamini 'Pacome Day’' Ilianza kwa Taasisi za ZIPPA na ZRA kwa kuidhamini BACCA DAY na sasa PACOME DAY imetupa pia mpunga Wananchi"

"Haya mambo hayatokei bahati mbaya. Ni matokeo ya Ubunifu mkubwa kutoka kwa Watendaji wa Yanga unaowaunganisha Mashabiki na Wanachama wake kwenye Hamasa Nchi nzima," alisema Kamwe

Mashabiki wa Yanga wameaswa kuendelea kununua tiketi ili kuhakikisha siku ya Jumamosi uwanja wa Benjamin Mkapa unajaa

More Stories

Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
Wamebaki wababe wawili tu wasiofungika Ligi Kuu
7h ago
READ MORE →
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
Afcon haiwezi kuondoka Tanzania, Kenya na Uganda : Motsepe
8h ago
READ MORE →
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
BREAKING: Tajiri wa Chelsea Boehly ang’atuka kwenye klabu
10h ago
READ MORE →
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
Ngorongoro Heroes yaweka malengo makubwa CECAFA U20
10h ago
READ MORE →
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
Yanga SC kukipiga mchezo wa kirafiki na St George uwanja wa Uhuru
11h ago
READ MORE →
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
Messi aongeza taji jingine, afikisha mataji 49 katika kazi yake
11h ago
READ MORE →
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
Raphinha, Yamal wampa wakati mgumu Mbappe mbio za ufungaji bora La liga
11h ago
READ MORE →
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
Manchester United yaanguka Old Trafford, yatupwa nje kwenye Carabao
12h ago
READ MORE →
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
12h ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
14h ago
READ MORE →