Yanga - Local

Yanga yatinga robo fainali ligi ya mabingwa

Joel JJ By Joel JJ
β€’
24 Feb 2024
Yanga yatinga robo fainali ligi ya mabingwa

Yanga imetinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad

Hii ni historia mpya kwa Yanga kufanikiwa kutinga robo fainali ya ligi ya mabingwa tena kwa ushindi mnono

Mudathir Yahya aliipeleka Yanga mapumziko ikiwa mbele kwa bao 1-0 akimalizia krosi ya Joyce Lomalisa

Kipindi cha pili Yanga ilirejea kwa kasi na kufunga mabao mawili haraka dakika ya 47 na 48 kupitia kwa Stephane Aziz Ki na Kennedy Musoma

Pengine Aziz Ki angeongeza bao jingine kama angetumia vyema moja ya nafasi adimu lakini alisahihisha makosa yake kwa kumtengenezea Joseph Guede nafasi ya kufunga bao la nne

Yanga inatinga robo fainali baada ya kufikisha alama 8 huku ikiwa na faida ya head-to-head dhidi ya CR Belouizdad

Hii ina maana hata Belouizdad washinde mabao 100 katika mechi yao ya mwisho na Yanga ikafungwa mabao 1000 na Al Ahly, bado itabaki nafasi ya pili

Mechi ya mwisho dhidi ya Al Ahly itakuwa vita ya kuamua timu itakayomaliza nafasi ya kwanza

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’