Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema kikosi cha Yanga kitaondoka nchini leo kuelekea Misri kwa ajili ya mchezo wa kuhitimisha hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Al Ahly. Mchezo huo utapigwa Ijumaa, March 1, saa 1 usiku kwa saa za Tanzania
..... download Xtra 90 App



