Baada ya kuiongoza Yanga kutinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema wanaelekeza nguvu zao katika mechi za ligi kuu ili kuhakikisha Yanga inatetea ubingwa kwa msimu wa tatu
..... download Xtra 90 App



