Kuelekea mchezo wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL), Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Ali Kamwe amesema hakuna shaka ya aina yoyote wanaenda kushinda mchezo wao dhidi ya Mamelodi Sundowns kwani wana wachezaji bora kuliko timu hiyo.
..... download Xtra 90 App



