Ushindi wa mabao 2-0 ilioupata juzi usiku dhidi ya Namungo FC, kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi, umeifanya Azam FC kung'ang'ania nafasi ya pili, ikifikisha pointi 50 na kuiweka njia panda Simba kwenye ushiriki wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao
..... download Xtra 90 App



