Manchester United haitarajii klabu yoyote kufikia thamani ya £70m ya mshambuliaji wa Uingereza Marcus Rashford, 26, msimu huu wa joto. (ESPN) Paris St-Germain wamepiga breki nia yao ya kutaka kumnunua Rashford na watafuatilia malengo mengine ya uhamisho kabla ya dirisha la kiangazi. (i Sport)
..... download Xtra 90 App



