Mabingwa watetezi Yanga, wamefanikiwa kutetea ubingwa wao wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo, baada ya kuitwanga Mtibwa Sugar mabao 3-1, katika mechi iliyochezwa jana jioni kwenye Uwanja wa Manungu Complex, Turiani, Morogoro
..... download Xtra 90 App



