Klabu ya Yanga leo ilihudhuria Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaliko wa Waziri wa Sanaa, Utamaduni na Michezo Mh Dk. Damas Ndumbaro ambapo Bajeti ya Wizara yake ilisomwa leo
Msafara wa Yanga uliongozwa na Rais Injinia Hersi Said ambaye aliibua shangwe kubwa katika ukumbi wa bunge pale alipotambuliswa





