Simba - Local - Transfer

Simba yanasa kiungo Asec Mimosas

Joel JJ By Joel JJ
β€’
6 Jun 2024
Simba yanasa kiungo Asec Mimosas

Simba inatajwa kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas Serge Pokou 

Simba ilifungua mazungumzo na kiungo huyo tangu mwezi April na kilichokuwa kinasubiriwa ni msimu kufika tamati ili nyota huyo ajiunge na Simba akiwa mchezaji huru

Pokou mwenye umri wa miaka 23 alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na Asec ambao umemalizika baada ya msimu kwisha

Pokou ataungana na Aubin Kramo kuitumikia Simba msimu ujao wote wakitokea klabu ya Asec Mimosas

Pokou alikuwa kiungo tegemeo katika kikosi cha Asec akifunga mabao matatu na asisti moja katika Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo aliisaidia Asec kucheza hatua ya robo fainali wakitolewa na Esperance kwa mikwaju ya penati

Nyota huyo pia ameifungia Asec mabao 8 katika ligi kuu ya Ivory Coast ambapo Asec walimaliza msimu wakiwa nafasi ya nne

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
2h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
3h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
3h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
4h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
5h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
6h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
6h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
19h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
20h ago
READ MORE β†’