Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars umeikamilisha usajili wa Kocha, Patrick Aussems raia wa Ubeligiji kuwa Kocha Mkuu wa timu huyo kuanzia msimu mpya wa 2024/25 kwa kandarasi ya awali ya msimu mmoja mpaka tarehe 30 June 2025 kama Kocha Mkuu
..... download Xtra 90 App



