Yanga - Local

Yanga yambakisha Gamondi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
9 Jun 2024
Yanga yambakisha Gamondi

Kupitia Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga uliofanyika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano, Julius Nyerere, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amewahakikishia Wanachama na Mashabiki wa timu hiyo kuwa Kocha Miguel Gamondi ataendelea kuitumikia Yanga kwa msimu mwingine

Gamondi ndio surprise waliokuwa wameahidiwa Wanachama wa Yanga kwani aliibuka katika Mkutano huo na kuthibitisha bado yupo

"Nafuraha kubwa kuwa hapa. Kipekee namshukuru Rais Injinia Hersi Said, wenzangu katika benchi la ufundi na wachezaji wote"

"Nimefanya kazi katika nchi zaidi ya 40 lakini nikiri kwamba najisikia furaha zaidi hapa. Nawashuru Wananchi kwa kuniunga mkono katika mwaka huu ambao tumekuwa sote"

"Niwathibitishie nitaendelea kuwa hapa kwa msimu mwingine. Naamini kwa pamoja tutafanya makubwa zaidi ya msimu uliopita," alisema Gamondi

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amemtaka kocha huyo kuhakikisha wanatetea mataji waliyoshinda msimu uliopita yaani ligi kuu na kombe la FA lakini zaidi kufanya vizuri zaidi katika michuano ya ligi ya mabingwa

More Stories

Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizzima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
2h ago
READ MORE β†’
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
6h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
6h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
7h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
7h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
8h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
9h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
9h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
22h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
23h ago
READ MORE β†’