Wataalam kutoka klabu ya CSKA Moscow jana walianza program maalum ya kutambua vipaji soka la vijana, wakishirikiana na klabu ya Yanga
Maafisa hao wamekamilisha program jijini Dar es salaam na wataelekea mikoa ya Tanga na visiwani Zanzibar kuendesha program hiyo






ADVERTISE HERE