Wakati mchakato wa usajili wa wachezaji wa ndani na nje ya Tanzania kuelekea maandalizi ya msimu mpya ukiendelea, unaweza kusema Wekundu wa Msimbazi wanawachelewesha watani zao, Yanga kumtangaza kiungo, Clatous Chama, ametua katika timu yao, imeelezwa
..... download Xtra 90 App



