Newcastle wanakaribia kumsajili Dominic Calvert-Lewin, Wolves wanakataa ofa ya Newcastle kwa Max Kilman, na Douglas Luiz anatazamiwa kufanyiwa uchunguzi wa kimatibabu na Juventus. Newcastle United wanakaribia kuinasa saini ya mshambuliaji wa England Dominic Calvert-Lewin, 27, ambaye amebakiza mwaka mmoja kwenye mkataba wake na Everton. (Guardian)
..... download Xtra 90 App



