Yanga - Simba - Local - Transfer

Chama atambulishwa Yanga

Joel JJ By Joel JJ
1 Jul 2024
Chama atambulishwa Yanga

Aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Simba Clatous Chama, amejiunga na Yanga, mabingwa hao wa Tanzania Bara wakimtambulisha mapema leo

Imeelezwa kuwa Chama amesaini mkataba wa mwaka mmoja ambao una kipengele cha kuongeza mwaka mwingine mwishoni mwa msimu

Tetesi kuhusu usajili wa Chama zilitawala katika dirisha hili la usajili lakini hatimaye Mwamba huyo wa Lusaka amemaliza misimu yake 6 ya kuitumikia Simba

Kulikuwa na matumaini kwa mashabiki wa Simba walioamini nyota huyo angeweza kuongeza mkataba katika klabu yao

Lakini taarifa ya Yanga mapema Jumatatu, imeondoa matumaini hayo, msimu ujao Chama kwa mara ya kwanza hapa Tanzania ataitumikia timu nyingine na sio Simba

More Stories

SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa  Yanga SC “Your next: Yanga”
SimbaSC yatuma ujumbe mzito kwa Yanga SC “Your next: Yanga”
1m ago
READ MORE →
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
Barcelona yaendeleza dozi La Liga, yaipiga Racing Santander 7-2
1h ago
READ MORE →
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
Mnyama avunja uteja Chamazi, sasa macho Dabi ya Kariakoo
11h ago
READ MORE →
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
Simba mwendo mdundo, yaichapa Azam Fc 2-0
12h ago
READ MORE →
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
Highlights : Azam Fc 0-2 Simba
12h ago
READ MORE →
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
Mizizima derby pilato Herry Sasii kuwaamua Azam na Simba
16h ago
READ MORE →
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
19h ago
READ MORE →
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
20h ago
READ MORE →
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
20h ago
READ MORE →
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
21h ago
READ MORE →