Juventus wanataka kumuuza fowadi wa Italia Federico Chiesa, 26, ili kupata fedha za kumnunua winga wa Manchester United Jadon Sancho, huku klabu hiyo ya Italia ikifanya mazungumzo kuhusu aina ya ofa ya kumpa mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza, 24. (Calciomercato – in Itali)
..... download Xtra 90 App



