Simba - Coastal - Local - Transfer

Hatma ya Lawi kuamuliwa na Kamati ya TFF

Joel JJ By Joel JJ
β€’
17 Jul 2024
Hatma ya Lawi kuamuliwa na Kamati ya TFF

Sakata la klabu ipi ina haki ya kummiliki beki Lameck Lawi, kati ya Simba na Coastal Union bado limebaki mikononi mwa Kamati ya Hadhi na Haki za Wachezaji iliyopo chini ya Shirikisho la Soka nchini (TFF), baada ya pande mbili jana kutoa maelezo mbele ya kamati hiyo, imeelezwa

Lawi msimu uliomalizika aliichezea Coastal Union na ulipomalizika akauzwa Klabu ya Simba, lakini wamiliki wake hao wa zamani walirejesha hela kwa madai muda waliowekeana wa malipo ulimalizika, jambo ambalo limezua mvutano kwani upande wa pili pia unasema ulifuata taratibu zote

Jana kila upande ulitoa ushahidi wake mbele ya kamati hiyo, Coastal Union, ikiwakilishwa na Katibu Mkuu wake, Omary Ayoub, huku Simba ikiwakilishwa na wanasheria wao

Kila timu imeendelea kushikilia msimamo wake ambapo Coastal Union wanadai wallirudisha fedha yote iliyotolewa na Simba baada ya kukiukwa kwa makubaliano baina ya pande mbili

Hata hiyo Simba imesisitiza mchakato huo ulikamilishwa kama walivyokubaliana, Coastal Union walipaswa kuwataarifu mapema kama kulikuwa na makubaliano yaliyokiukwa (suala la muda wa malipo)

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’