Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi makali chini ya Kocha Fadlu Davies katika pre-season inayoendelea Ismailia, Misri
Ni mazoezi asubuhi na jioni, Fadlu amedhamiria kurejesha utawala wa Simba katika soka la ndani na Kimataifa
Mnyama kesho atacheza mechi yake ya kwanza ya kirafiki baada ya wiki mbili za mazoezi makali
Ni dhidi ya El-Qanah Fc ya hapo Ismailia








