Baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya El Qanah katika mchezo wa kwanza wa kirafiki ambao Simba ilicheza jana Misri, Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davies ameeleza kuridhishwa kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake katika mchezo huo
..... download Xtra 90 App



