Azam - Coastal - Local

Arajiga apewa Azam Fc v Coastal Union, Ngao ya Jamii

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Aug 2024
Arajiga apewa Azam Fc v Coastal Union, Ngao ya Jamii

Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB), imemtangaza Ahmed Aragija kutoka Manyara kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Ngao ya Jamii utakaozikutanisha Azam FC na Coastal Union utakaopigwa, kesho, Alhamisi

Mchezo huo wa Ngao ya Jamii unatarajiwa kuchezwa kwenye Uwanja wa New Amaan, Zanzibar kuanzia saa 10:00 jioni huku Coastal Union ikiwa mwenyeji

Katika mchezo huo, Janeth Balama kutoka Iringa na Ally Ramadhani wa Zanzibar watakuwa waamuzi wasaidizi wakati Nasri Siyah kutoka Zanzibar pamoja na Victor Mwandike kutoka Mtwara ndio watakuwa waamuzi wa akiba

Agosti 8, 2024 ni ufunguzi wa msimu wa soka wa 2024-2025 nchini ambapo zinachezwa mechi za Ngao ya Jamii kuanzia hatua ya nusu fainali, kisha mshindi wa tatu ikifuatiwa na fainali

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’