Yanga - Local - Transfer

Yanga matatani tena FIFA

Joel JJ By Joel JJ
β€’
21 Aug 2024
Yanga matatani tena FIFA

Shirikisho la mpira wa miguu Duniani (FIFA) limeitaka klabu ya Yanga kulipa Benchem United ya Ghana kiasi cha dola 80,000 (sawa na Sh 217 milioni) kutokana na usajili wa winga Augustine Okrah

Hukumu hiyo imetolewa jana August 19, 2024 na FIFA, baada ya Benchem United kufungua madai dhidi ya Yanga kufuatia kusitisha mkataba wa nyota huyo

Okrah alisajiliwa na Yanga mwezi Januari mwaka huu katika usajili wa dirisha dogo

Hata hivyo nyota huyo hakuwa na wakati mzuri kikosini akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara pamoja na masuala binafsi ya nje ya uwanja

Yanga imepewa siku 45 kukamilisha malipo ya Benchem United ili kuepuka kifungo cha kutosajili

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
46m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’