Yanga - Simba - Azam - Singida - Local

Stars dimbani dhidi ya Ethiopia leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
4 Sep 2024
Stars dimbani dhidi ya Ethiopia leo

Saa 1 usiku timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Ethiopia katika mchezo wa kuwania kufuzu michuano ya Afcon 2025 itakayofanyika Morocco

Stars haipaswi kupoteza alama katika uwanja wa nyumbani ili kuwa na nafasi nzuri ya kufuzu

Kama waandalizi wenza wa Afcon 2027, ni muhimu kwa Tanzania kufuzu Afcon 2025 ili kutumia michuano hiyo kama sehemu ya uzoefu

Kaimu kocha mkuu wa Stars Hemed Morocco amesema wamepata muda mzuri wa maandalizi na matumaini ya kushinda mchezo huo ni makubwa

Morocco amewataka mashabiki wa soka nchini kujitokeza kwa wingi dimba la Benjamin Mkapa ili kuwapa hamasa wachezaji wao

Kila la kheri Stars..

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
44m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’