Baada ya kusambaa kwa taarifa ambayo ilidaiwa kutolewa na Menejiment ya mchezaji Yusuph Kagoma wakiishukuru klabu ya Yanga kwa kumsamehe mchezaji huyo ambaye alipelekwa Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji ya TFF kutokana na madai ya kimkataba, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ali Kamwe amekanusha taarifa hiyo na kusisitiza kuwa Shauri kati ya klabu na mchezaji huyo bado..... download Xtra 90 App



