Simba - Local - Transfer - Yanga

Simba haijawahi kupokea barua ya Kagoma kusimamishwa - Magori

Joel JJ By Joel JJ
β€’
13 Sep 2024
Simba haijawahi kupokea barua ya Kagoma kusimamishwa - Magori

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Crescentius Magori amesema kiungo Yusuph Kagoma yuko huru kuitumikia Simba kwa sababu klabu haijawahi kupokea barua yoyote kutoka TFF juu ya mchezaji huyo kusimamishwa kama ilivyodai taarifa iliyotolewa na Mwanasheria wa Yanga mapema leo

Aidha Magori ameitaka TFF imuadhibu Mwanasheria wa Yanga Simon Patrick kwa kuzungumzia kesi ambayo iko mbele ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji

Magori ameikumbussha TFF iliwahi kumuadhibu marehemu Zacharia Hans Pope wakati wa sakata la usajili wa mchezaji Bernard Morrison baada ya kuzungumza na wanahabari kuhusu kesi iliyokuwa mbele ya Kamati

"Yusuf Kagoma, Kiungo wa boli, cheza mpira, hivi vya leo ni vituko na viroja TFF chukueni hatua. Marehemu Hans Pope aliwahi kuadhibiwa kwa kuzungumza suala lililopo kwenye Kamati ya Sheria. Tunaomba hili pia litendeke"

"Simba haijawahi kupata barua yoyote ya Kagoma kusimamishwa. Tunaomba adhabu itolewe kwa aliyesema huu uongo hadharani, "aliandika Magori katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Kagoma yuko na kikosi cha Simba Libya kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Al Ahly Tripoli utakaopigwa Jumapili

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
49m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’