Real Madrid inalenga kuwanunua kiungo wa kati wa Manchester City na Uhispania Rodri, beki wa pembeni wa Liverpool, 25, Trent Alexander-Arnold na beki wa Arsenal, William Saliba, 23, au beki wa kati wa Tottenham na Argentina Cristian Romero, 26. (Independent)
..... download Xtra 90 App



