Baada ya kuibuka kwa taarifa kuwa kiungo wa Azam Fc Feisal Salum 'Fei Toto' amegomea mazungumzo ya mkataba mpya, Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano Azam Fc Thabit Zacharia 'Zakazakazi' amesema anaamini Fei Toto ataendelea kusalia Azam Fc na hata kama akitaka kuondoka klabu haitamzuia
..... download Xtra 90 App



