Baada ya kupata ushindi wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam dhidi ya Coastal Union, Kocha Mkuu wa Namungo, Mwinyi Zahera, amesema tayari wachezaji wake wameshaanza kuyashika vyema mafunzo wanayopatiwa
..... download Xtra 90 App



