Saa 8 mchana, Tanzania Prisons watakuwa dimba la Sokoine wakiwakaribisha Dodoma Jiji huku Pamba Jiji watakuwa nyumbani CCM Kirumba wakiwakaribisha Mashujaa Fc saa 10 jioni
Hizi ni mechi za raundi ya 5 ligi kuu ya NBC ambayo mpaka sasa Singida BS wako kileleni wakikusanya alama 12 baada ya kushinda mechi nne




