Yanga - Azam - Local - KMC - Pamba

NBC PL: Yanga, Azam Fc viwanjani leo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
3 Oct 2024
NBC PL: Yanga, Azam Fc viwanjani leo

Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kushika kasi, huku leo viwanja vitatu vikitarajiwa kuwaka moto

Bingwa mtetezi Yanga itakuwa uwanja Azam Complex, Dar es Salaam kuikaribisha Pamba Jiji. Yanga ipo nafasi ya 4 katika msimamo wa Ligi Kuu ikiwa na pointi 9 baada ya michezo 4 wakati Pamba Jiji inashika nafasi ya 14 ikiwa pointi 4 baada ya michezo 6

Huko Lindi, Azam itakuwa mgeni wa Namungo kwenye uwanja wa Majaliwa ulipo Ruangwa

Azam inashika nafasi ya 5 ikiwa na pointi 9 baada ya michezo 6 wakati Namungo ipo nafasi ya 11 ikiwa na pointi 6 baada ya michezo 5

Eneo la Mwenge, Dar es Salaam litakuwa na hekaheka wakati wenyeji KMC itakapoikaribisha Kagera Sugar kwenye uwanja wake wa KMC Complex

Katika msimamo wa ligi KMC ipo nafasi ya 12 ikiwa na pointi 5 baada ya michezo 6 wakati Kagera Sugar ni ya 15 ikiwa na pointi 4.

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
2h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’