Mwenyekiti wa wa klabu ya AFC Leopards ya Kenya Dan Shikanda pamoja na msafara wa viongozi waandamizi wa klabu hiyo, leo wametembelea Makao Makuu ya Yanga kwa lengo la kujifunza mfumo wa uendeshaji wa Klabu
Ziara ya mafunzo hayo imeanza leo chini ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said pamoja na watendaji wake na itachukua muda wa siku mbili






