Simba - Local

Simba kuanzia nyumbani makundi CAF CC

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Oct 2024
Simba kuanzia nyumbani makundi CAF CC

Droo ya makundi ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika (CAF CC) imefanyika Misri leo ambapo Simba imepangwa kundi A pamoja na timu za CS Cfaxien (Tunisia), CS Constantine (Algeria) na Bravos ya Angola

Novemba 28 Simba itacheza mechi ya kwanza ya makundi nyumbanii dhidi ya Bravos na kisha kusafiri Algeria kuikabili CS Constantine Disemba 08

Disemba 15 Simba itakuwa nyumbani kuikabili CS Sfaxien na kisha kusafiri Tunisia kurudiana na CS Sfaxien Januari 5

Januari 12 Simba itasafiri Angola kurudiana na Bravos na kisha kumaliza mechi ya mwisho hatua ya makundi nyumbani dhidi ya CS Constantine Januari 19

Hapa utaratibu ni uleule alama zote 9 za nyumbani lazima zibaki kisha kusaka angalau alama 2 tu ugenini kujihakikishia tiketi ya kutinga robo fainali

More Stories

Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
28m ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
1h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
2h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
3h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
16h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
17h ago
READ MORE β†’
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
Clement Mzize arejea rasmi kikosini baada ya miezi sita nje kwa majeraha
22h ago
READ MORE β†’