Yanga - Local

Yanga kuanza na Al Hilal makundi

Joel JJ By Joel JJ
β€’
7 Oct 2024
Yanga kuanza na Al Hilal makundi

Mchezo wa kwanza wa hatua ya makundi ligi ya mabingwa barani Afrika (CAF CL) utapigwa Novemba 26 ambapo Yanga iliyopangwa kundi A, itaikaribisha Al Hilal katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Disemba 06 Yanga itakuwa Algeria kuchuana na MC Alger katika mchezo wa pili na kisha kuelekea DR Congo kuikabili TP Mazembe Disemba 13

Januari 03 Yanga itakuwa nyumbani uwanja wa Benjamin Mkapa kurudiana na TP Mazembe na kisha kusafiri Mauritius kumalizana na Al Hilal Januari 10

Januari 17 Yanga itahitimisha hatua ya makundi nyumbani kwa mchezo dhidi ya MC Alger utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Ili kukamilisha mkakati wa kutinga robo fainali, Yanga itazihitaji alama zote 9 za nyumbani pamoja na kusaka angalau ushindi wa mechi moja ugenini

Hata hivyo katika misimu ya hivi karibuni Yanga imejipambanua ni timu inayoweza kushinda popote iwe nyumbani au ugenini

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
1h ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
2h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
3h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
4h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
5h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
18h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
19h ago
READ MORE β†’