Tanzania - Taifa Stars - Yanga - Simba - Azam - Local

FT : Tanzania 0-2 DR Congo

Joel JJ By Joel JJ
β€’
15 Oct 2024
FT : Tanzania 0-2 DR Congo

Mabao mawili ya dakika za majeruhi yaliyofungwa na Meshack Elia yameihakikishia DR Congo kufuzu kwa fainali za Afcon 2025 baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tanzania

Ikicheza mbele ya Rais Mstaafu Awamu ya nne Dk Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mh Kassim Majaliwa na viongozi wengine waandamizi, Stars ilishindwa kufua dafu mbele ya Wacongoman hao

Stars ilikosa ubunifu katika eneo la ushambuliaji, timu ilicheza vyema eneo la ulinzi na kiungo. Hata hivyo baada ya kuzuia vizuri kwa takribani dakika 88, mashambulizi ya kushitukiza ya DR Congo katika dakika za jioni yaliigharimu Stars kupoteza mchezo huo muhimu na kuweka rehani nafasi ya kufuzu Afcon 2025

Tanzania sasa inahitaji kushinda mechi mbili zilizobaki dhidi ya Ethiopia na Guinea huku ikiomba wapinzani wake hao katika kundi H wafanye vibaya katika mechi zao

More Stories

Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
Klopp amchagua Ter Stegen, kipa namba moja Ujerumani
43m ago
READ MORE β†’
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
Mo Dewji aichochea Simba, aweka milioni 200 dhidi ya Azam
1h ago
READ MORE β†’
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
BREAKING: Chelsea wagonga hodi PSG kwa Fabian Ruiz
1h ago
READ MORE β†’
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
Pape sakho kutoa nafasi Raja kumsajili Philipinho
2h ago
READ MORE β†’
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
Kocha De Zerbi na Tottenham Yake Mambo magumu, Watolewa kwenye Carabao Cup
3h ago
READ MORE β†’
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
Azam FC dhidi ya Simba leo, hatumwi mtoto dukani
3h ago
READ MORE β†’
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
Patrice Motsepe kuwasili Tanzania kwa ukaguzi wa maandalizi ya AFCON 2027
4h ago
READ MORE β†’
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
Alama tatu za jasho na damu kwa Yanga SC...! Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
Highlights : Yanga 1-0 Geita Gold
17h ago
READ MORE β†’
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
Hatimaye Yanga waonja uchungu wa red card baada ya Aziz Ki kuonyeshwa kadi nyekundu
18h ago
READ MORE β†’